Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
naminifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa Malaika
Kidege hukuwaza kidege
Kidege hukuwaza kidege
naminifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa Malaika
Den här lyssnar vi på dagligen hemma, som tur är slipper jag se dem varje dag, liiite väl -80:)
http://www.youtube.com/watch?v=jvGxuuaIJGM
No comments:
Post a Comment